Jukwaa la Ushirika mkoa wa Tanga
Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na wanaushirika wote umekuwa na mwitikio chanya katika maswala ya Ushirika, hivyo mrajisi msaidizi wa vyama vya ushirika mkoani Tanga Jacquline Senzige kwa kushirikiana na wadau mbalimbali aliandaa jukwaa hilo