Want to partner with us? Let's get started now!

Manyoni Teachers SACCOS Limited taarifa zinapatikana kwa wakati, Huduma za support ni nzuri

Hali ilikua je kabla ya kuwa na mfumo wa  Amala Core Banking?

Tulikua tunatumia manually ambayo ilikua inasababisha kupata taarifa kwa wakati ilikua ngumu maana ilikua inasabisha kuchukua mda mrefu kwa mfano Kuandaa report za week, Mwezi au Mwisho wa mwaka kwa mazingira yalikua magumu Maana ilikua inatufanya tunatumia nguvu nyingi sana.

Nini kilikufanya uwachague Singo Africa Limited kama mtoa huduma wenu?

Baada Timu ya singo Afrika Kufika na kuelezea mfumo pamoja na huduma zake  kwa vitendo, Tukaona unafahaa pia na kwakua umeonekana ni Rahisi kuhutumia na Umekizi maitaji yetu kwa Kiasi kikubwa naweza nikasema takribani asilimia tisini (90%), Imetusaidia zaidi kwenye ripoti kwa maana Ilikua inachukulia mda kwenye kuandaa zaidi kwenye report zetu za mwisho wa mwaka.

Hali ijo je baada ya kufunga mfumo?

Kwa sasa Mambo yamekua rahisi sana tofauti na mwanzo kwa maana taarifa zetu tunaziweka kwa wakati na tunapata taarifa kwa wakati mfano Ripoti zetu tunapata kwa wakati kwa kutumia mfumo, Hisa, Akiba, Mikopo na Akaunt ripoti

Una lolote kuhusu namna mradi/project ilivyotekelezwa?

Project ilifanyika kwa wakati kama vile mda ulivyokua umepangwa, zaidi tulifurahia wakati wa mafunzo ya kutumia mfumo maana tulifanyiwa mafunzo vizuri na kuelewa mpaka sasa tunatumia mfumo wa Amala Core Banking .

Hali ya huduma iko je baada ya kumalizika kwa kusimikwa kwa mfumo?

Huduma ya Kimfumo ni nzuri maana huduma zetu zote tunafanya kupitia huu mfumo wa Amala Core Banking. kuingiza taarifa na kutoa taarifa zetu pale wateja wetu wanapo ziitaji na kuzipata kwa wakatiti. Pia Tunapata Taarifa kwa wakati  kama kuna tatizo lolote limetokea na kutaarifiwa mapema  na pale tunapotoa taarifa kama kuna Tatizo lolote tumelipatana ua linatatuliwa mapema na sisi kuweza kuendelea na kutoa Huduma kwa wanachama wetu.

Ripoti ya ukaguzi za COASCO, zimesaidia mfumo umetuletea report vizuri, mfumo unaenenda na unakizi vigezo tunavyoviitaji taasisis kama ya kwetu ya SACCOS.

Nini matarajio yenu ya mbeleni?

Kwa sasa Taarifa zote tunazipata kwenye mfumo, natumaini timu ya Singo Africa Limited wataboresha mfumo zaidi na kuweza kufanya urahisi zaidi katika huu mfumo pamoja na huduma zao.

Una ushauri gani kwa taasisi ambazo bado hazina mfumo, au zinatumia kutoka kwa wahudumu wengine?

Nashauri watumie Amala Core Banking kwa maana ni rahisi kuhutumia zaidi kwenye upande wa Accounting ukilinganisha na mifumo mingine. Amala Accounting, mtu yoyote yule anaweza kutumia hata kwa wale wasiokua na Knowledge ya Accounting.

Kuhusu Manyoni Teachers SACCOS Limited

Ni chama kilichoanzishwa na walimu mnano Tarehe 16/9/1998, kikiwa na waanzilishi tisa (9) na uwezo kwa mwaka ilikua inaweza kutoa TZS 10 Milioni tu, lakini sasa tunawanachama 373 ambao ni wanachama hai.

About Singo Africa Limited

A business technology and consulting service company, owning a premium microfinance and SACCOS software platform that transforms the businesses and sector by the name of “Amala app Suite”. The company care about return on investment of its clients. We don’t just install, we ensure realize benefit of your decision and investing in technology.

The company is also doing excellent products in retail, distribution and manufacturing etc.

Contacts

Manyoni Teachers SACCOS Limited                                                                                               Singo Africa Limited
Innocensia Steven                                                                                                                            Baraka Nyoni
Cloud- Clerk                                                                                                                                     Service & Support Specialist
manyoniteacherssaccosltd@yahoo.com                                                                                         huduma@singo.africa                                                                                                                                                                                                                                     +255 71 260 5130

About the Author

Leave a Reply

You may also like these