MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA TANZANIA KATIKA ASASI ZA KIFEDHA
Mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), iliyofanyika mjini Bali Indonesia ambapo imewakutanisha wadau wa masuala ya fedha wakiwemo Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu