Mafunzo ya Watoa Huduma katika Vyama vya Ushirika – Morogoro
Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania – TCDC, iliyo chini ya Wizara ya Kilimo na Ushirikia ikishirikiana na Bank Kuu ya Tanzania -BoT waliandaa mafunzo na mkutano kwa ajili ya watoa huduma katika vyama vya