Success Stories

Kiluvya Lutheran Church SACCOS Limited wafurahia urahisishwaji wa shughuli za kila siku baada ya kusimika na kutumia mfumo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kabla ya kua na mfumo wa Amala Core Banking, hali ilikua je?

Kabla hatujatumia Amala system, tulikua tuna tumia Excel sheets kwa kuifadhi taarifa zetu. Na hali haikua nzuri kama sasa tunavyutumia amala system; maana ilikua inatulazimu kutumia muda mrefu sana kwenye kuandaa taarifa zetu, zaidi ilikua kwenye ripoti za kila mwezi za wanachama,  pia tulikua tunatumia vitabu ambavyo athari yake ni kubwa sana kwenye data/taarifa za wanachama wetu katika utunzaji na kupata taarifa sahihi kutoka kwa wanachana na jinsi ya uingizaji wa taarifa kwenye vitabu.

 

Ni kitu gani kilifanya uchague Singo Africa Limited na kwa maana mfumo wao wa Amala Core Banking?

Tulishauliwa na mkaguzi wa nje MR. Said Mfinanga from Pan Africa Auditors, Pia tulilinganisha na mifumo mingine tukaona Singo Africa umekikidhi mahitaji yetu kwa asilimia kubwa zaidi, pamoja tulinganisha na gharama zao ilikua ni fair.

 

Hali iko je sasa? Haswa baada ya kusimika mfumo?

Kuna maendeleo/uboreshwaji katika utendaji wa shughuli zetu kwa uharaka zaidi, kama vile kusimamia taarifa zetu, za mikopo, akiba, Amana pamoja na hisa.

 

Mradi wa usimikaji mfumo ulienda vipi?

Project ilifanyika vizuri na kwa muda uliostaili kama ulivyopangwa kuanza na kumaliza project, cha muhimu ni sisi kutumia vizuri na kwa kila kile tulichoitaji kutokana na mahitaji yetu ya kimfumo

 

Baada ya mfumo kusimikwa na sasa mnafanya kazi na mtoa huduma, vipi support iko je?

Support ya kimfumo ni nzuri, kwa maana tunapata taarifa zetu kama tulivyoziitaji na sio Support ya kimfumo tu, pia tunapata support kwa wakati pale tunapokwama katika shughuli zetu na kuitaji support kwa service provider wetu, tunaipata kwa wakati punde tunapotoa taarifa ya tatizo letu kama ni service request, incident au problems.

 

Nini matarajio ya huko mbeleni?

Kuweza kuboreshwa kazi yangu zaidi na kila kitu kiweze kufanyikwa kwenye mfumo,

 

Una ushauri gani kwa taasisi ambazo bado hazina mfumo, au zinatumia kutoka kwa wahudumu wengine?

Watumie Amala Core Banking, kwa maana watoa huduma wao ni wepesi kutatua matatizo pale unapokua na shida ya kutatuliwa tatizo lako lijitokezalo kutokana na matumizi yako kwenye mfumo. Pia mfumo wao ni rafiki kwa watumiaji wote hata kwa wale wasiokua na knowlegde kuhusu mfumo wanaweza kutumia mfumo wao.

 

 

 

 

Kuhusu Kiluvya Lutheran Church SACCOS Limited

Kiluvya Lutheran church SACCOs ni taasisi ambayo Ilianzishwa kuwasaidia waumini wa Kanisa KKKT la Kiluvya. Ilisajiliwa mnamo mwaka 2009 kama Kiluvya Lutheran church SACCOs Limited, Ikiwa na Wanachama 75 na sasa tunawanachama takribani 138 na tuliweza kutoa mikopo 38 kwa baadhi ya wanachama wetu

 

About Singo Africa Limited

A business technology and consulting service company, owning a premium microfinance and SACCOS software platform that transforms the businesses and sector by the name of “Amala app Suite”. The company care about return on investment of its clients. We don’t just install, we ensure realize benefit of your decision and investing in technology. The company also have complementary products in terms of mobile app,  for loan officer and MFI/SACCOS  cient or member of SACCOS respectively.

The company is also doing excellent products in retail, distribution and manufacturing etc.

 

Contacts

Kiluvya Lutheran Church SACCOS Limited                                                                                     Singo Africa Limited
Lawrencia Makoye                                                                                                                           Baraka Nyoni
Accountant                                                                                                                                       Service & Support Specialist
lawrencia.makoye@yahoo.com                                                                                                       huduma@singo.africa                                                                                                                                                                                                                                          +255 71 260 5130

 

Manyoni Teachers SACCOS Limited taarifa zinapatikana kwa wakati, Huduma za support ni nzuri

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Hali ilikua je kabla ya kuwa na mfumo wa  Amala Core Banking?

Tulikua tunatumia manually ambayo ilikua inasababisha kupata taarifa kwa wakati ilikua ngumu maana ilikua inasabisha kuchukua mda mrefu kwa mfano Kuandaa report za week, Mwezi au Mwisho wa mwaka kwa mazingira yalikua magumu Maana ilikua inatufanya tunatumia nguvu nyingi sana.

 

Nini kilikufanya uwachague Singo Africa Limited kama mtoa huduma wenu?

Baada Timu ya singo Afrika Kufika na kuelezea mfumo pamoja na huduma zake  kwa vitendo, Tukaona unafahaa pia na kwakua umeonekana ni Rahisi kuhutumia na Umekizi maitaji yetu kwa Kiasi kikubwa naweza nikasema takribani asilimia tisini (90%), Imetusaidia zaidi kwenye ripoti kwa maana Ilikua inachukulia mda kwenye kuandaa zaidi kwenye report zetu za mwisho wa mwaka.

 

Hali ijo je baada ya kufunga mfumo?

Kwa sasa Mambo yamekua rahisi sana tofauti na mwanzo kwa maana taarifa zetu tunaziweka kwa wakati na tunapata taarifa kwa wakati mfano Ripoti zetu tunapata kwa wakati kwa kutumia mfumo, Hisa, Akiba, Mikopo na Akaunt ripoti

 

Una lolote kuhusu namna mradi/project ilivyotekelezwa?

Project ilifanyika kwa wakati kama vile mda ulivyokua umepangwa, zaidi tulifurahia wakati wa mafunzo ya kutumia mfumo maana tulifanyiwa mafunzo vizuri na kuelewa mpaka sasa tunatumia mfumo wa Amala Core Banking .

 

Hali ya huduma iko je baada ya kumalizika kwa kusimikwa kwa mfumo?

Huduma ya Kimfumo ni nzuri maana huduma zetu zote tunafanya kupitia huu mfumo wa Amala Core Banking. kuingiza taarifa na kutoa taarifa zetu pale wateja wetu wanapo ziitaji na kuzipata kwa wakatiti. Pia Tunapata Taarifa kwa wakati  kama kuna tatizo lolote limetokea na kutaarifiwa mapema  na pale tunapotoa taarifa kama kuna Tatizo lolote tumelipatana ua linatatuliwa mapema na sisi kuweza kuendelea na kutoa Huduma kwa wanachama wetu.

Ripoti ya ukaguzi za COASCO, zimesaidia mfumo umetuletea report vizuri, mfumo unaenenda na unakizi vigezo tunavyoviitaji taasisis kama ya kwetu ya SACCOS.

 

Nini matarajio yenu ya mbeleni?

Kwa sasa Taarifa zote tunazipata kwenye mfumo, natumaini timu ya Singo Africa Limited wataboresha mfumo zaidi na kuweza kufanya urahisi zaidi katika huu mfumo pamoja na huduma zao.

 

Una ushauri gani kwa taasisi ambazo bado hazina mfumo, au zinatumia kutoka kwa wahudumu wengine?

Nashauri watumie Amala Core Banking kwa maana ni rahisi kuhutumia zaidi kwenye upande wa Accounting ukilinganisha na mifumo mingine. Amala Accounting, mtu yoyote yule anaweza kutumia hata kwa wale wasiokua na Knowledge ya Accounting.

 

 

 

 

Kuhusu Manyoni Teachers SACCOS Limited

Ni chama kilichoanzishwa na walimu mnano Tarehe 16/9/1998, kikiwa na waanzilishi tisa (9) na uwezo kwa mwaka ilikua inaweza kutoa TZS 10 Milioni tu, lakini sasa tunawanachama 373 ambao ni wanachama hai.

 

About Singo Africa Limited

A business technology and consulting service company, owning a premium microfinance and SACCOS software platform that transforms the businesses and sector by the name of “Amala app Suite”. The company care about return on investment of its clients. We don’t just install, we ensure realize benefit of your decision and investing in technology.

The company is also doing excellent products in retail, distribution and manufacturing etc.

 

Contacts

Manyoni Teachers SACCOS Limited                                                                                               Singo Africa Limited
Innocensia Steven                                                                                                                            Baraka Nyoni
Cloud- Clerk                                                                                                                                     Service & Support Specialist
manyoniteacherssaccosltd@yahoo.com                                                                                         huduma@singo.africa                                                                                                                                                                                                                                     +255 71 260 5130

 

SBC SACCOS Limited happy to have better Audit Report as a result of implementation of proper Information Management System

How was the situation before using Amala App Suite?

Before Using Amala Core Banking we were using Ms Excel for our operation but this was let us to consume a lot of time during our operation, It is quite different with today we use Amala system, We use less time in our operation because we provide service to our members in time, It depend on what they need whether is report, receipt, loan statement e.t.c

 

What made you to choose Singo Africa Limited through it award winning solution to be your preferred partner?

Through the persuasive demonstration made to us, to see the system cover almost what we require especially the best solution made us to select to partner with Singo Africa is report which one of our factor we have considered for selection of service provider which cover our needs in report such as client, share, loan, saving and Accounting report which are mandatory for any SACCOS.

Even though there were option to select on-premise, we felt the one real fit for SACCOS intuition like ours, is cloud option, as you know we don’t have or rather we cannot afford to IT resources and all it needs to make sure the system is running flawless and get the service expected.

 

How is the situation now?

The current situation is fascinating, since we have started to use Amala app Suite, a core banking application for Microfinance and SACCOS, our activities run smoothly because the system brought great improvement to our operation especially in our data management such as Loan, Saving and share Management

COASCO resent report: Is good, the system meets the regulator requirement.

 

Do you have any comment on how was project done?

The project was done successfully; especially for consideration of time management,  since it is delivered in time as planned and fully accomplished, I would like to say it is a great project and thanks to Singo Africa for being reliable in project implementation.

 

How is the situation now, from support and others you may want to mention?

Support is great because we get what we need from the system and on time such as accurate Report from the data inserted on the system, So it is a great system to use.

 

What is your expectation going forward?

Team Singo to continue add more features which will continue make our operation on the system much easier, that assist cooperative organization in their daily operation by using Amala App Suite. The good thing is always each quarter the they release a new version, continue keeping this trend.

 

In general, what would you advise a organization which don't have this service or using other options?

Amala Core banking is suitable for credit union. I advice and recommend for those credit union to use Amala Core Banking because it meets regulator and SACCOS requirements, it is user friendly and understandable even for those who do not have experience of using systems, they can use Amala Core Banking since it is easy to use.

 

 

 

 

About SBC SACCOS Limited

We were in incorporated on October 13, 2005 with the mission of revive the financial and economic situation to its members through Loan with affordable conditions to all its members, we were able to provide Total Loan by year 500+, to almost 450+ members.

 

About Singo Africa Limited

A business technology and consulting service company, owning a premium microfinance and SACCOS software platform that transforms the businesses and sector by the name of “Amala app Suite”. The company care about return on investment of its clients. We don’t just install, we ensure realize benefit of your decision and investing in technology.

The company is also doing excellent products in retail, distribution and manufacturing etc.

 

Contacts

SBC SACCOS Limited                                                                                                               Singo Africa Limited
Ms Rashda Rashidi                                                                                                                    Mr. Baraka Nyoni
Accountant                                                                                                                                 Service & Support Specialist
amour1410@gmail.com                                                                                                             huduma@singo.africa
saccossbc@gmail.com                                                                                                               +255 71 260 5130

 

About us

A technology for financial inclusion that has features for financial institution flexibility to grow and advance in its way of managing customers, financial products, fast and regular reporting capabilities.

Powered by Mifos  

Amala Adding Value

 

 

Service Desk[existing clients only]

  

Contact us

Singo Africa Limited

Magomeni-Makumbusho | Morogoro Rd/Ruaha Str.

Opp. Usalama BRT | Watumishi Hse, Wing B,  Gnd Flr.  

P.O BOX 78908 | 14102 Dar es Salaam

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. | +255 76 652 1258 | singo.africa | amala.co.tz

Newsletter

Please subscribe to our Newsletters to always stay updated.
Top